JamiiForums Usiku wa manane

Ooops
habari za wanajamvi wa uzi huu upendwao na watu wengi. Uzi wenye habari za kikubwa na si uzi uliotekwa na wanafunzi. Nimewamisi sana tena sana. Nakumbuka sana mifupa yangu ilivyokuwa ikishamiri kwa story na vicheko vya baadhi ya stories za humu.
Najua na nilikuwa napata taarifa zenu kutoka kwa KK kila siku na leo nimemweleza kuwa naja humu na imetubidi tupumzishe assignment niliyokuwa nafanya kwa muda.
Herry ya mwaka mpya wote wote sitaki kuanza kutaja majina maana naweza msahau mtu mmoja ikalet shida. Ila Thad Mungu anakuona ulivyokuwa ukinizunguka.
mimi bado nakupenda
 
Heeeee maza wa kitaaa, Jei Jizii, oohh sorry Jei jezi, mmmh. Yaani kutamka jina lako mi mpaka nimuulize [emoji713] [emoji742] [emoji765] [emoji639] [emoji768] [emoji742] [emoji701] [emoji671] jomoni! Basi nifundishe!
 
Um
 
Hiii ime
Mbona unalimwaga hapa jamani! Si ungeninong'oneza kuleeee. Duh, saa mbona unaniharibia Ubunge wangu jamani. Nataka kugombea, kama nimekukosea unanifuata taratibu.
Jiandika aisee sio kwa umbea huu. Acha nitafute ile nimeandika nione nani ka edit
Unajua ukiwa unagombea ubunge bila kuwa na skendo skendo wananchi hawawezi kukuelewa na kukuamin. So nishukuru tu nitakuwa sababu ya wewe kushinda
 
Nakupenda Sana mpenzi karibu tena kipenzi
 
Nakupenda Sana mpenzi karibu tena kipenzi
Nakupenda zaidi yà maneno yanavyoweza kuelezea.
Najua kuna waliokuwa wakinizunguka but nakuamin. Misimamo yako yako imezidi ya Osama so sina wasiwasi kabisa.
Upumzike now maana kesho unakumbuka tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…