JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

2225hrs
I hope you meet yourself someday and realize you are nice to be around,
i hope you meet yourself so you can realize how it is to have yourself close by.
Hii ni spiritually eeh..Basi kuna nyakati nilipitia nikawa naomba sana nikutane na mimi mwenyewe physically.I had so many Qns to the extent that i thought i was the only one mwenye majibu sahihi.

Nilishawahi kucheza huu mchezo wa kuongea mwenyewe na kioo...mpaka leo sijui ilikuwaje na sioni kama ni ajabu yani.
 
mi kila siku naongea na kioo changu,,
 
Hii ni spiritually eeh..Basi kuna nyakati nilipitia nikawa naomba sana nikutane na mimi mwenyewe physically.I had so many Qns to the extent that i thought i was the only one mwenye majibu sahihi.

Nilishawahi kucheza huu mchezo wa kuongea mwenyewe na kioo...mpaka leo sijui ilikuwaje na sioni kama ni ajabu yani.
Je, ukiongea na kioo ndio inakua tayari umekutana na wewe?
 
Back
Top Bottom