JamiiForums Usiku wa manane

Oooh... mfano tafadhale...
Mfano labba biashara imeanguka au umepaata hasara,au kabda umeachwa na mtu unayempenda sana

Mazingira yote hayo yanakutokea bila kuchagua yawe hivyo au hakutaka yawe hivyo ila ndio yametokea

Sasa jukumu lako ni namna gani utayapokea hayo matokeo, je ndio utabaki kulalamika kuwa umeachwa na kusononeka daily au utaamua kumove on ikitaraji ipo siku utapata mtu sahihi

Je,biashara imeanguaka ndio hutofanya tena biashara na kukata tamaa kabisa, au utafanya tathimini kwanza kujua what went wrong, je kipi ulikosea,je mazingira ya kufanyia biashara sio sahihi au

Kwahiyo kifupi ni namna gani utadili na matokeo ambayo hukuyatarajia na kutafuta njia ya kutokea ndio huwatofautisha winners na walioshindwa
 
Utanipandisha kisukari babu yako 🤭

Koh koh 🤭

Kuwa na imani na Wazee mjukuu 🤭

Njoo unisaidie kunipeleka kliniki yangu ya macho, babu yako nimekuwa mpweke huku kwa watu 🤪
Anayekuamini wewe amechannganyikiwa pia!

Mpaka leo hujapata tu wa kukusindikiza clinic kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…