JamiiForums Usiku wa manane

Poleni😁😁
Asante mjukuu, Fanya mpango uniletee kiko babu yako 🤗
Ndio kikubwa uwe na kipimo cha kichaa chako tu na uwe na kiasi
Anza kunipa kidogo kidogo, si unajua umri wangu umesonga 😅
Hahaha wasalimie sana naona mpaka hulali uko na wajukuu mzee
Kuwa na imani na Wazee, hizo nguvu zipo basi za kusalimia muda wote huo 🤭
Hahaa umefanya vizuri babu piga banana hao!
Nimekuagizia wine dumu zima, njoo unywe mjukuu 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…