JamiiForums Usiku wa manane

bora yako, mwenzio natumia limao hiyo buku 5 tu sina
Mwamba ni shabu! Kuna binti alikua akipita nasikia harufu kali halafu ye mwenyewe hajijui.
Nikamuita nikampa jiwe la shabu nikamwambia atumie baada ya siku 3 anirudishie jiwe langu.

Sasa hivi akipita sisikii harufu yoyote.
 
Shabu ndo nini? 😂
 
hiyo Shabu ndo naiskia leo asee, kwahiyo alirudisha au aliondoka nalo mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…