mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,944
- 81,593
Umekosa kimoja tu. Kimoja tu!Hapana kando yangu kuna mito miwili mikubwa na simu na charge yake pia ipo hapa
Nikiangaza macho nauona utajiri wangu wote kwa pamoja
Inshort siko single nipo pamoja na vitu vyangu vyooooteeee
Another equatio
Ni kipi hicho kijana mdogoUmekosa kimoja tu. Kimoja tu!
Kijeba cheusi ambacho ni mimi.Ni kipi hicho kijana mdogo
Astghafilullah kijeba nakupeleka wapi sasa au nitakuweka kwenye shamba langu la mpunga uwe unawatisha ndege π πKijeba cheusi ambacho ni mimi.
Ukiwa na kipele mgongoni nitakusaidia kukuna.Astghafilullah kijeba nakupeleka wapi sasa au nitakuweka kwenye shamba langu la mpunga uwe unawatisha ndege π π
Gudubaii kijana acha nilale kesho nayo siku uwe na mwema usikuUkiwa na kipele mgongoni nitakusaidia kukuna.
Nikue mara ngapi sasaπ€£π€£Lala ukue kijana
Baaasiiiiii kwisha weweNi
Nikue mara ngapi sasaπ€£π€£
Gudubai !!!Baaasiiiiii kwisha wewe
WasalamuuuGudubai !!!
niko msibani huku mrondera ,zimbambwe,MkuuGeneral Tresor Mandala hausomeki lindoni kuna shida yoyote?
muhimu sanaSaa 4:12 AM
Ukaguzi wa lindo
Pole sana General ,Mungu awafanyie wepesiniko msibani huku mrondera ,zimbambwe,Mkuu
amen,hahahahaPole sana General ,Mungu awafanyie wepesi
Hakika, nimebaini zoezi la ulinzi, tunaachiwa Wazee peke yetumuhimu sana
hahahahahahaHakika, nimebaini zoezi la ulinzi, tunaachiwa Wazee peke yetu
Nahisi vijana wanakuwa busy kuijaza Dunia π€
π πhahahahahaha