Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,041 Mtu akipanda juu, si lazima nimvute chini. Naweza kumpigia makofi. π
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,042 Sina wivu na mwanga wa mwingine, najua na mimi nina taa yangu
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,043 Moyo mkubwa hauogopi kuona wengine wakifanikiwa.
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,044 Mafanikio ya mwenzangu ni ushahidi kwamba inawezekana. π₯
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,045 Sishindani na mafanikio ya wengine, najenga yangu.
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,046 Mtu mwenye amani moyoni anaweza kushangilia hata ushindi ambao si wake.
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,047 Wivu unaangalia mafanikio ya mwingine kama tishio; hekima inaona kama somo.
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,048 2239hrs
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,049 Lindo check up....
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,050 Seran je,kuna habar zozote mpya kwenye kitengo chako cha watumia mjani, je kuna movement zozote ambazo sio za kawaida kwenye mipaka yetu?
Seran je,kuna habar zozote mpya kwenye kitengo chako cha watumia mjani, je kuna movement zozote ambazo sio za kawaida kwenye mipaka yetu?
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,051 dosho12 unasomaje upande wako pamoja na kitengo chako
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,052 win-one vipi huko mipakani ulipo sasa hivi kuna movement zozote zenye kutia mashaka?
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,053 The Gworl kwa upande wako unasomekaji kiusalama kwa ujumla wake
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,054 General Tresor Mandala hausomeki lindoni kuna shida yoyote?
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,429 Reaction score 29,428 Oct 5, 2026 #187,055 ephen_ tunajua unalea now,utaendelea na majukumu muda ukifika
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 35,225 Reaction score 101,235 Oct 5, 2026 #187,056 mshamba_hachekwi said: Komwe liliuma nini? Click to expand... Acha tu limekaa kama tochi, ni story ndefu!π
mshamba_hachekwi said: Komwe liliuma nini? Click to expand... Acha tu limekaa kama tochi, ni story ndefu!π
The Gworl JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 6,019 Reaction score 18,289 Oct 5, 2026 #187,057 Ertugrul Bey said: The Gworl kwa upande wako unasomekaji kiusalama kwa ujumla wake Click to expand... 5/5 Utulivu wa kutosha...Ratiba zinaendelea
Ertugrul Bey said: The Gworl kwa upande wako unasomekaji kiusalama kwa ujumla wake Click to expand... 5/5 Utulivu wa kutosha...Ratiba zinaendelea
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 35,225 Reaction score 101,235 Oct 5, 2026 #187,058 Ertugrul Bey said: Seran je,kuna habar zozote mpya kwenye kitengo chako cha watumia mjani, je kuna movement zozote ambazo sio za kawaida kwenye mipaka yetu? Click to expand... Hapana kila kitu Kiko shwari, stoners wote wako vyedi hakuna anayevuka mipaka!
Ertugrul Bey said: Seran je,kuna habar zozote mpya kwenye kitengo chako cha watumia mjani, je kuna movement zozote ambazo sio za kawaida kwenye mipaka yetu? Click to expand... Hapana kila kitu Kiko shwari, stoners wote wako vyedi hakuna anayevuka mipaka!
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 24,943 Reaction score 81,596 Oct 5, 2026 #187,059 Seran said: Acha tu limekaa kama tochi, ni story ndefu!π Click to expand... Acha bangi.
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 35,225 Reaction score 101,235 Oct 5, 2026 #187,060 mshamba_hachekwi said: Acha bangi. Click to expand... Soon.