JamiiForums Usiku wa manane

Home g nipo upande wako mi nilijua unadeka deka na kujishaua ili aongeze kasi.. kumbe hajagusa kumoyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sikiliza achana nae akakufe mbele na uzee wake .... Kwanza mzee wa nini
hahahah haya ndo mambo homeG wanguπŸ₯° sisi hatuna tabia ya kutupana😊,, kama namuona tresor alivyo nyong'onyea πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nimeacha kutoa ushauri sababu nimeona ndugu yako ashalainika anataka tresor aongeze tu speed
Eeh unataka umsikilize tena? Home g ..utaniponza maana na ww huelewekiπŸ₯ΉπŸ˜‚πŸ˜‚
hapana bana mi nawasilikiliza ninyi ndugu zangu, siwezi kuwasaliti kabisa, msinitenge sina kimbilioπŸ˜ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…