JamiiForums Usiku wa manane

njoo basiπŸ˜…,,

mi ninayo huruma ila sijakufikia japo na mimi kuna mda huwa nawasaidia wadudu ambao wanahangaikia uhai ila tu wasiwe ndani kwangu, ni tukutane huko nje πŸ˜„
Kwahiyo wakiwa ndani hauna urafiki nao,dah mimi hata wakiwa ndani nashow love sana tu

Usiwaze ngoja nichek uwezekano wa kufika hapo
 
Daah kwahyo aliona mke mkubwa kama anafahidi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…