Usitafute sympathy ili ulale salama😂Elevenn nisamee bana kwa post za mchana kama umeweka vitu moyoni am really sorry mi huwa sio mgomvi
Ukwamani ni wapi tena jamani😅Maeneo ya ukwamani Moja, naangalia wakeshao
Hee😂Mashoga yametokea wapi tena humu
0223
Hahahaha,kawe hy, nilikuoa sehemu inaitwa Jambo pubUkwamani ni wapi tena jamani😅
Ooh ushamba huu sijui hata pub za mjini🤦🏽♀️Hahahaha,kawe hy, nilikuoa sehemu inaitwa Jambo pub
Ok kumbe wewe sio naye mfikiria,nilijua nachat na Best Kutoka kaweOoh ushamba huu sijui hata pub za mjini🤦🏽♀️
Ndio mimi halafu sitoki huko huwa naenda tu kutuliza nafsi!Ok kumbe wewe sio naye mfikiria,nilijua nachat na Best Kutoka kawe
Mmmh, okayNdio mimi halafu sitoki huko huwa naenda tu kutuliza nafsi!
Mbona unaguna mkuu, natokea jirani na kawe.. so wanangu wakiwa maneneo ndio tunazurura huko!Mmmh, okay
unapenda nongwa eeeh😅,, haya kumekucha twende tukalianzishe maana mi nimeku sorry ili usije ukijinyonga kumbe haujakomaUsitafute sympathy ili ulale salama😂
Am not that serious bwana huwa najibu mtu jinsi a navyo kuja na yanaishia pale pale. Huwa naamini mtu aki jibu utumbo sio yeye, bali ni response ya emotions
pole, sikujua kama utapita maeneo ya hukuNikija Mimi usiamshwe? Good night
Yep homieWewe ni mhenga 😅
Wa miaka ya sitini au😅😅Yep homie
Niko 40's sasa kazi kwako kufanya hesabu😂😂Wa miaka ya sitini au😅😅