mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,944
- 81,595
Yaani ukiniacha uninunulie tu jeneza maana...sa kama unajisahau sana😆
muongo 😏 na kesho ukajiwekee order tu maana unajisahau sanaYaani ukiniacha uninunulie tu jeneza maana...
sielewi elewi
Kitu tayari ni changu order ya nini? Ubavu wangu toka mbavuni mwangu.muongo 😏 na kesho ukajiwekee order tu maana unajisahau sana
hay maneno umejifunzia wapi? nimepata wasiwasi ushapata mmama eeeh 🤨Kitu tayari ni changu order ya nini? Ubavu wangu toka mbavuni mwangu.
Nimekupata wewe mlingoti wangu, twiga wangu mwenye madaha.🙂hay maneno umejifunzia wapi? nimepata wasiwasi ushapata mmama eeeh 🤨
shiyeeeenz😆😆 kwanini uniite mlingoti lakini 😭 umenichoka sio?Nimekupata wewe mlingoti wangu, twiga wangu mwenye madaha.🙂
Jivunie!shiyeeeenz😆😆 kwanini uniite mlingoti lakini 😭 umenichoka sio?
kwani mimi ni mrefu au mlingoti?😢Jivunie!
Wanawake warefu wanapendwa mno.
Sasa jamani mlingoti si mbao tu wala sio tusi😅kwani mimi ni mrefu au mlingoti?😢
Contract haipatikini kama hivyo kijanaShesRise_1 pass me a contract udeke kwangu 😎
I know homie 😊You know I love that 🤣🤣
HakikaDon't gain the world and lose your soul,
Wisdom is better than silver and gold.
Babes0000plus
yes darnBabes
Naolewa diha 🫣yes darn
wow hizi ni habari njema jamni am happy for you😍,,, uanze kuiombea ndoa yako isipate viini machoNaolewa diha 🫣