The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,234
- 121,917
Si ndio hata mimi nashangaa,kwanini aseme Chai wakati hakujui na wewe humjui.Ukiniona kwa maandishi tu mbali na ile kuniona physical unaniona ni mtu wa kuongea chai
Ili iweje yaani?
Nipate tuzo?
Atakaesema ni chai avenue maandazi kwa mke wake chai ya rangi anywe
🤣🤣🤣 shenziiii sana we jamaaSi ndio hata mimi nashangaa,kwanini aseme Chai wakati hakujui na wewe humjui.
Kwani umekuwa Unga wa ngano homieAsante kaka ila ni enzi hizo saivi mambo ni mengi mnoo
We acha tu 🤣🤣Kwani umekuwa Unga wa ngano homie
Chai.Ukiniona kwa maandishi tu mbali na ile kuniona physical unaniona ni mtu wa kuongea chai
Ili iweje yaani?
Nipate tuzo?
Atakaesema ni chai akanunue maandazi kwa mke wake chai ya rangi anywe
Green the area ,cover the site ASAP. 23:12Green the area ,cover the site ASAP. 23:12
"ASAP imefika, sasa KAZI ni kuendelea Kushika Zamu. 👀Green the area ,cover the site ASAP. 23:12
Mkuu Mawazo255 mdogo wangu ,habari za siku nyingi ?Green the area ,cover the site ASAP. 23:12
"ASAP imefika, sasa KAZI ni kuendelea Kushika Zamu. 👀
"Kichwa ni kilekile, nywele zimeamua kustaafu." 🤣Swali la kijinga,lijibu kwa jibu la kijinga,
Upo na rafiki yako mchana,na anakuona kua umefuga nywele,kisha mnaachana kila mtu anaenda kwake,
Wewe una amua kwenda Salon unakata nywele,
Jioni unakutana tena na yule rafiki yako,kisha anakuuliza huku anakuangalia kichwani; "Umekata nywele?"
Unamjibu; "Hapana sijakata nywele bali nimebadilisha Kichwa"
Hapana zimedondoka zenyewe.Swali la kijinga,lijibu kwa jibu la kijinga,
Upo na rafiki yako mchana,na anakuona kua umefuga nywele,kisha mnaachana kila mtu anaenda kwake,
Wewe una amua kwenda Salon unakata nywele,
Jioni unakutana tena na yule rafiki yako,kisha anakuuliza huku anakuangalia kichwani; "Umekata nywele?"
Unamjibu; "Hapana sijakata nywele bali nimebadilisha Kichwa"
Njoo unioe please 😍Chai.
Hapana sijakata nyweleSwali la kijinga,lijibu kwa jibu la kijinga,
Upo na rafiki yako mchana,na anakuona kua umefuga nywele,kisha mnaachana kila mtu anaenda kwake,
Wewe una amua kwenda Salon unakata nywele,
Jioni unakutana tena na yule rafiki yako,kisha anakuuliza huku anakuangalia kichwani; "Umekata nywele?"
Unamjibu; "Hapana sijakata nywele bali nimebadilisha Kichwa"
sheikh usikute saivi ushauchapa tayali😀 maana unawahi kuingia na unawahi kutokaUsijali hapa kila mtu huwa anasepa kwa muda wake kuna ambao wanaingia night kali kabisa, kuna mrembo mmoja Fake P huyu mida yake ni ile wanga hana baya
Kuna win-one huyu ndio mkali wao
Bila kumsahau ShesRise_1
Alhamdulilah niko salama kabisa .Asante sana mkuu! Nipo salama, natumaini na wewe uko vizuri. Ni kweli zimepita siku nyingi. Tuendelee kufurahia mjadala na uwe na wakati mwema pia. 🤝😊
Yesu wangu.Njoo unioe please 😍
Soma tena,Hapana sijakata nywele
Sasa swali gani hilo
KiruuuuuuuuuuYesu wangu.