JamiiForums Usiku wa manane

Nafurahi kusikia hivyo homie, wewe ni Kati ya watu wachache ambao huwa nawakubali sana yani,so if your okay so do I

Tupo kama kawa kama dawa
Nakukubali pia homie
Ishi humu homie angel number
Halafu niambie madrassa ulimaliza juzzu 30?
 

Attachments

  • Chris Brown - Angel Numbers _ Ten Toes (Official Video).mp4
    14.3 MB
Dah kwanza ulivyoniuliza nikwambie nimemaliza juzuu 30 ikabidi nicheke kwa sauti kubwa sana himie

Dah hilo lijisong nimeishi nalo,ila hiyo video unaweza Ota usiku yatisha ati
Kwanini hapo kwenye juzuu 30 umecheka ?

Mimi kwa kusoma kuangalia nimefunga msahafu kwa kuhifadhi kipindi dunia haijanichanganya nilihifadhi juzuu 20 kwa hakika ila kwa sasa sijui kama hata 10 zimebaki kicwani

Kwanini uote usiku sasa kwa hiyo video we muoga eeh
 
Mashallah homie dah big up sana yani,kumbe ulikuwa mtamu sana aisee,juzuu 20 sio mchezo

Uliponiuliza nilicheka coz sikutarajia swali kama hilo kupop up ghafla yan

Sio muoga Kivile ila mie mahorrow movie ndio zangu,napenda unaangalia movie mpaka unapawaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…