Lala uko ๐๐Tuna msiba huku mkuu๐
Nipo na Black Clover nimeivalia njuga mpaka iishe ๐
I miss u ๐Lala uko ๐๐
Mnaniudhi na haya ma anime yenu๐View attachment 3632278hizi mimi naenda nazo zote sema hii founder of diabolism ni kalii sana nimeweka power hapo kwanza
nahisi hakuna kitu ingine kwa hii ulimwengu inanipa goosebumps kama anime for real ๐Mnaniudhi na haya ma anime yenu๐
Ngoja nimalize black nianze nazo hizoView attachment 3632278hizi mimi naenda nazo zote sema hii founder of diabolism ni kalii sana nimeweka power hapo kwanza
๐Kwann mkuu huzipendi??Mnaniudhi na haya ma anime yenu๐
Sijwahi elewa hizi habari aisee!nahisi hakuna kitu ingine kwa hii ulimwengu inanipa goosebumps kama anime for real ๐
Nadhani hawa Traxtion Mwananchi B Selikavu tunaweza ongea lugha moja
Naona kama za watoto halafu wababa wazima mnaangalia๐๐Kwann mkuu huzipendi??
Hata selewi 4 bila kipindi cha kwanza mmhTimu ya ufaransa inadhalilishwa.
Za watoto no Cartoons ๐๐hizi hata maudhui yake nyingine ni 18+ plusNaona kama za watoto halafu wababa wazima mnaangalia๐