Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,297
- 85,331
UWATAUmoja wa Walinzi Tanzania.
UWATAUmoja wa Walinzi Tanzania.
Lala0048
mimi ni team mapopo 😜Lala
Unataka kufanyanini usiku humu?mimi ni team mapopo 😜
sina cha kufanya zaidi ya kujichatisha mpka napitiwa na usingizi😄Unataka kufanyanini usiku humu?
Karibu nyuma ya dj hapa upate kinywajisina cha kufanya zaidi ya kujichatisha mpka napitiwa na usingizi😄
Nimejikuta mzungu nikanywa kahawa, nimeangalia movie mpaka imeisha ila bado natumbua macho tu😫sina cha kufanya zaidi ya kujichatisha mpka napitiwa na usingizi😄
😄😄😄 pole sana mwanetuNimejikuta mzungu nikanywa kahawa, nimeangalia movie mpaka imeisha ila bado natumbua macho tu😫
asante palacKaribu nyuma ya dj hapa upate kinywaji
Usiende atakuibaasante palac
usijali hata siwezi kwenda kabisaUsiende atakuiba