Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,355
- 95,749
0100hr
Unanichanganya na hizi 🆔 zakoFear Comes From Experience
01:13
ID zipi mkuuUnanichanganya na hizi 🆔 zako
Ok 👍ID zipi mkuu
weeee 😅😅 imekuaje tena? nimepitwa na ninikwanza yule chaulevi kule si kataka kunihaibia usiku wangu! kaniudhi ujue😤
Hujaona linaandika usenge huko?weeee 😅😅 imekuaje tena? nimepitwa na nini
kweli vile sijaona, niwapi? mbona haujaniita 😢Hujaona linaandika usenge huko?
Ngojaa... 😎kweli vile sijaona, niwapi? mbona haujaniita 😢
hiyo ngojaaa nitaiweza kwel😪 ngoja nijitahidi kukazaNgojaa... 😎
Anyways....
Polygamist ni hadithi ya mwanaume mwenye wake wengi ambaye anajaribu kusawazisha familia na mahusiano yake. Kadiri muda unavyopita, wivu, migogoro, siri na changamoto za kifamilia huanza kujitokeza, na kuathiri maisha yake pamoja na ya wake zake..
nb, kama una roho ndogo achana nayo! am traumatized for real😢
hii inaumiza wanandoa hasa! unaweza kuichek tu sio mbaya sana..hiyo ngojaaa nitaiweza kwel😪 ngoja nijitahidi kukaza
kama inasikitisha sitoitafuta mi napenda movie za kuchinjana na za uchawi pekeake yani nikiangalia movie moyo unaogopa kwa kutetemeka😅😅 ila sitaki kulia kwa hizo movie za emotional damage
jamani si nitaogopa kuolewa sasa😪,, enweeei nitaitafuta maana kesho nitakua na mda wa kutosha kabisahii inaumiza wanandoa hasa! unaweza kuichek tu sio mbaya sana..