Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,577
- 29,809
Kidokezo: Ukishapata somo, lile kosa linageuka kuwa "ada ya mafunzo" (tuition fee) uliyolipa kwenye chuo cha maisha.
Kidokezo: Wakati mwingine changamoto si mtu, bali ni namna mnavyotatua migogoro. Tofautisha kati ya "mtu" na "tatizo."
Pia akujaalie mpole kama mimiUniondolee majivuno,komesha kiburi
01:0900:32 loaded
01:45 Doriaaaq01:09
Huu muda utakua ulikua unamuwaza Feli😅🤣03:44 Mananetology
Ila cantri kwa umbea nakugawa buree wee, khaaah [emoji23][emoji23][emoji23]Huu muda utakua ulikua unamuwaza Feli[emoji28][emoji1787]
Alafu feli sio mtu wa kupenda sana ugomvi, ukitaka ugomvi mtafute Patricia [emoji1787]
Wadogo zangu wote hawa, sitaki wagombane. Napenda waishi kwa peace and loveIla cantri kwa umbea nakugawa buree wee, khaaah [emoji23][emoji23][emoji23]