ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,944
- 50,569
Hakunaaa๐ถ๐ถ Moyo wangu mjinga nakulaumu kila anaekuja kwako unamuamini sana,, unanibebesha mzigo na majukumu,,,,,๐ถ๐ถ๐ถ
ushindwee๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHakunaaa
Usiongeze chupa nyinginehivi hapa nipo wapi๐๐๐๐
aaah kumbe nipo kwenye kigeto changu huku malamba mawili,, vipi wew
mwenzangu mimi sio mlevi๐๐ enyewe nipo ndani nawaza kwenda kupunguza maji nimechokaaaaUsiongeze chupa nyingine
Kumbe haya sauwaa maa๐ฅฐmwenzangu mimi sio mlevi๐๐ enyewe nipo ndani nawaza kwenda kupunguza maji nimechokaaaa
Amen0050 Nawakumbusha kusali
Mganga kadondosha simu usiokote uta-delete mizimu01:01 intelli monstrous