sitosahau nilipokua mdogo nilikua namsikiliza dj arungu anauliza watu maswali redioni na wakikosea anawachapa viboko, basi nilivyo mpuuzi nikawa nahisi vile viboko vinawafikia kweli๐ ๐ ๐ ๐ ๐
nipo naimagine huu uzi usingekuepo mida kama hii ningekua nafanya nini sasa na macho haya makavu,, uloanzisha huu uzi barikiwa mno japo umepotea toka 2020