JamiiForums Usiku wa manane

🎶🎶pole pole x3 moyo wangu maskini polee polee mtima wangu,, haikua dhamira haikua kusudi langu haikua dhumuni wala haikua malengo yangu ila tuseme labda moyo pengine sio rizki maana nimejitahidi sana malengo hayafiki,,,
 
🎶🎶 ile mito milima tuliyopita uliona, nikavumilia nikang'ang'ana si unaona,,, waambiee siongezi Neno nishaweka nukta waujue nilitulia sikukurupuka,,,
nikumbate kama mtoto, ntadeka×2🔥
 
🎶🎶 ile mito milima tuliyopita uliona, nikavumilia nikang'ang'ana si unaona,,, waambiee siongezi Neno nishaweka nukta waujue nilitulia sikukurupuka,,,
nikumbate kama mtoto, ntadeka×2🔥
Ngoja nisikilize unachosikiliza..
Your browser is not able to play this audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…