Ukweli usiofichika ukiwa umejipata ndio una asilimia kubwa zaidi za kupata mwanamke asiyekupenda
Atakuwa na wewe kwa ajili ya kutaka maisha mazuri, na kuwa sehemu salama isiyo na shida
Ukiniuliza mimi nitakwambia mtafute mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu kwanza,huyu hatakuwa na makeke na fujo kama za wadada wa mjini
Jaribu kuchunguza chimbuko lake,je ni watu wa namna gani,kuna koo ambazo kwao maisha ya ndoa si chochote kwao,hawa hawakawii kuingilia ndoa yako na kuisambaratisha mbali
Tatu Pima mtazamo wake kuhusu maisha,maono yake ni yapi,uelewa wake ukoje kuhusu maisha kwa ujumla
Na kama uko fresh,fanya trick moja,mwanzoni jifanye haujajipata uko maisha ya kawaida tu,ujue atakuchukuliaje