Sioni tatizo
Member
- Jul 12, 2023
- 94
- 122
00:49
Tbt
Drive kutoka wapi1:18 AM drive
Heri asubuhi inifikie kuliko kumeza dawa za usingizi.Nilisha kwambia tramadol 1+ citrizen 2.
Binti wa zamani karibu lindo01:22
Pendaelli kuna usalama huko?
Dawa za usingizi siyo nzuri bnHeri asubuhi inifikie kuliko kumeza dawa za usingizi.
Nakumbuka mkuu ila nilisita aisee!
Asante mkuu 😊Binti wa zamani karibu lindo
Nawakilisha kutoka kusini Kaskazini mwa Tanzania....Asante mkuu 😊
Sio nzuri kabisa aisee, siku nilienda pharmacy nikambiwa nije na maelekezo ya dactari maana dawa nyingine za usingizi zinaweza kufanya mtu ana lala moja kwa moja!Dawa za usingizi siyo nzuri bn
Kweli kabisa Bora uwe unafanya deep breathing izo dawa siyo nzuri kabisaSio nzuri kabisa aisee, siku nilienda pharmacy nikambiwa nije na maelekezo ya dactari maana dawa nyingine za usingizi zinaweza kufanya mtu ana lala moja kwa moja!
Saa yako inasoma different11:32 PM
Tuko pamojaaNipo lindo kwa uaminifu mkubwa 0133HRS