Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,079
- 1,567
Ukianza kupatikana utakuwa unatemea mate watuSipatikani😂😂😂😂😂
Ukianza kupatikana utakuwa unatemea mate watuSipatikani😂😂😂😂😂
Yani unamuwaza mtu ambaye amejipata.Niko tu hapa usingizi umekata namuwaza gwajima hii kauli yake ya Leo kuhusu utekaji
Kijana tafuta mke, linda kizazi chako.Yani unamuwaza mtu ambaye amejipata.
Hapa Nawaza kupiga nyeto
Ugea sabuni ya jamaa utanishukuru kakaKijana tafuta mke, linda kizazi chako.
Sijakuelewa MkuuUgea sabuni ya jamaa utanishukuru kaka
Yan wewe bhana.. Unadalalia hadi chaputa😂😂😂😂Sabuni inapovu jingi saaana
Huku kwetu bado night kalii🤗03:30 Hrs EAT
GOOD MORNING JAMAA WA JAMIIFORUMS
Wapi huko?Huku kwetu bado night kalii🤗
🤣🤣poleMwenzenu nimepiga uharo wa hataree
Hadi wembe unaotumiaYan wewe bhana.. Unadalalia hadi chaputa😂😂😂😂
Wanawake wa kibamba mnatabu sanaHuku kwetu bado night kalii🤗
Ikifika saa 10 ondoka bila kuaga03:50 nimelala kwenye kochi yeye chumbani..
Sijui kama nitatoboa...
Hapo hutoboi atasema umemdharau mkeo.03:50 nimelala kwenye kochi yeye chumbani..
Sijui kama nitatoboa...