JamiiForums Usiku wa manane

Ndo zilikua chocho zako sio? πŸ€—
Aisee nilimchukua mtoto wa mwenye gesti na nikawekewa ambush moja kali sana,na willy kaka wa my bby lakini jinsi nilivyoikwepa hiyo chini ya mhudumu mmoja wa hapo gesti,it was fantastic
 
Aisee nilimchukua mtoto wa mwenye gesti na nikawekewa ambush moja kali sana,na willy kaka wa my bby lakini jinsi nilivyoikwepa hiyo chini ya mhudumu mmoja wa hapo gesti,it was fantastic
Kumbe ukiritimba ulianza kitambo we mzeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Someone just texted me on WhatsApp, Eti mbona hulali.

Nime muuliza wataka kuja tulinde wote, ana sema it's not funny kumtania na najua I can't open the door for her. ghai people πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…