Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Maisha ni hatare Sana Mzee Zungu anawaza atakuja na style Gani ya kutrend mitandaoni.Ahah..acha tu. Maisha yana change sana
Miaka mitatu daahHayuko hapa, tuko na long distance relationship. Si nimekwambia nimestaafu mambo ya kukunja 7 toka 2022.
Lete Sauti yako hapa kigoliDj leo hayupo... π€π€
02:58
Upo wapi,Kuzimu?Uku nilipo ndio kwanzaaa saa kasoro... ππππ
Mi mzee wa kambi mkuuππππLete Sauti yako hapa kigoli
Kwenye dumuππUpo wapi,Kuzimu?
Achana na hizo nyimbo utawaza kifo Muda huuUtabaki kuwa Mungu π
03:01
Mwana FA na Kiba au Ngoma ipiWewe ndiyo kiboko yangu... π΅
03:02
Tutakucheck mashamba pamoja Mkuu.Msisahu lakini nauza mashamba,viwanja na nyumba hapa Dar es salaam.
Udalali ndio Kazi yangu.
Umekuwa mafuta ya Kula hahahahhaKwenye dumuππ
Kiboko yangu hivyohivyo. Bonge la song walitulia haswa.Mwana FA na Kiba au Ngoma ipi
Mtoto unamashuzi weweTutakucheck mashamba pamoja Mkuu.
Ujue una nusu ya Moyo wanguKiboko yangu hivyohivyo. Bonge la song walitulia haswa.
03:04
Sana πππππMtoto unamashuzi wewe