JamiiForums Usiku wa manane

Hivi hizi simu usiku bila mwanga wa taa ya kawaida macho si yana athirika sana
Taa inazimwa kabisa inabidi ujue kitendo cha mtu kubaki macho muda huu ambao wenzake wamelala siyo cha kawaida ana shida ya usingizi so taa zinazimwa kabisa anabaki anatumia simu usingizi ukija saa asiyoitarajia goma linaitika anapotea.
 
Ila kweli!
Lakini mimi taa sijazima hata nikipitiwa na usingizi inabaki inawaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…