kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Hiki kuiva saa saba kasoro mkuuTunasubiri chakula kiive unachopika
Safi muda wa kulala badoNinasoma nyuzi humu
Mfukua nyuzi duh mpo wengi 😹😹😹 PSL godSafi muda wa kulala bado
bado nachombeza timeSafi muda wa kulala bado
Mpigie mchumba uongee naebado nachombeza time
Ninashangaa nimejikuta huku😢😁😁Mfukua nyuzi duh mpo wengi 😹😹😹 PSL god
mchumba sina labda unipe namba nikupigie ww [emoji23]Mpigie mchumba uongee nae
Sina simu😁😁mchumba sina labda unipe namba nikupigie ww [emoji23]
Sina simu
Hivi unalalaga wewe?01:55 I mean no malice to nobody
Bado kidogo it's 2:2702:05 siku imeshaisha