Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,907
- 82,173
Mambo
Mambo
Poa Vincenzo Jr , leo uko lindo au umeamka kula daku?Mambo
Nipo na daku ndugu yangu karibu sana 😎😎Poa Vincenzo Jr , leo uko lindo au umeamka kula daku?
Sawa love niko nakungojea tutazame wote mbalamwezi tukiukaribisha usingizi ♥️Hadi raha.
Haya, tangulia kitandani nakuja
Mmh!Asante sana mpwa.
Kabla ya sikukuu ya Idd nitakuja kula nawe daku ya lala salama🕶
Thank you my love.Sawa love niko nakungojea tutazame wote mbalamwezi tukiukaribisha usingizi ♥️
The moon is brighter just like our love 🎑🌙💞
Nina wivu kipenzi nadhani unajua hilo please usiniumize nakuomba sana!Thank you my love.
Kwema kiongoziKijichi gateway annex pub hapa. Ambae yupo hapa tuchekiane, leo nina pesa kama serikali
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKOKijichi gateway annex pub hapa. Ambae yupo hapa tuchekiane, leo nina pesa kama serikali
Kwema kabisaKwema kiongozi