JamiiForums Usiku wa manane

Wewe si toka kabsa wewe una kunywa jack Daniel royal village dodoma kwa laki moja alafu ujiite jobless AFu wewe s daktari kabsa🀣tena una miaka 14 kwenye game
Kumbe nikishalewa huwa ndio nawadanganyaga hivyo? Wewe wap ulishaona dunia nzima daktari anashinda JamiiForums au kwenye mitandao ya kijamii yoyote?
 
Wewe si toka kabsa wewe una kunywa jack Daniel royal village dodoma kwa laki moja alafu ujiite jobless AFu wewe s daktari kabsa🀣tena una miaka 14 kwenye game
Shutuma hizi ni kubwa Sanaa Mh. Makamu Bolotoba

Mnanipa wakati mgumu sana Mimi msemaji wa CHAMA hiki πŸ˜‚

Naomba mh. Rais wa majobless promax Intelligent businessman ulitoleee swala hili ufafanuzi, shutuma hizi dhidi ya katibu wa CHAMA min -me ni nzito πŸ˜‚πŸ˜‚

Au mnalamba asali na hatujui πŸ˜‚
 
Hizo tuhuma nazikana mbele ya mahakama kwa kifungu cha 19 cha sheria ya mwaka 1999 ibara ya 10 b kinachosema .

Hakuna mtu mwenye kazi yupo mitandaoni kwa mda wa masaa16 mfululizo.
 
mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nakemea shutuma hizo.

narudia wanachama hawana hela, hivyo katibu min -me aendelee na majukumu mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…