Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
Mbona sasa umeonyesha hukuuuu[emoji18] jaman, mwenzio nilikua hoi hiyo juZi boxing day, ata hivo zawadi yako ipo hii hapa sijui utakuja chukua liniView attachment 661443View attachment 661444
Mbona sasa umeonyesha hukuuuu[emoji18] jaman, mwenzio nilikua hoi hiyo juZi boxing day, ata hivo zawadi yako ipo hii hapa sijui utakuja chukua liniView attachment 661443View attachment 661444
Muulize nae yupoWapoooooo
Nimempa nafasi ajibu maswali yenu..wewe Inna hujamjua endelea kuropoka tuu。
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mwambie akalale huyo dogoPeleka upuuzi huko, huku kuna wazazi wako kabisa.
Mtoto wa 99 unasumbua Baba zako
Ooho nisamehe bure nishamwaga mchele kwenye kuku weng[emoji134]Mbona sasa umeonyesha hukuuuu
Nazama chumvini uvinza,utamu umezidi mpaka umepitilizaaaaaNimempa nafasi ajibu maswali yenu..
Mm ngoja nizame chumvini nisake gori lake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui ndo ananitamanisha nipaeHumu unaweza kurushiwa hata ferari ukabaki kuliangalia tuu.
UsijaliiOoho nisamehe bure nishamwaga mchele kwenye kuku weng[emoji134]
Dogo anazingua mno[emoji2] [emoji2] [emoji2] mwambie akalale huyo dogo
Akojoe kabisa Manake hachelwi kulimwaga kwenye godoro[emoji2] [emoji2] [emoji2] mwambie akalale huyo dogo
Chumvini kwa nani? [emoji34]Nazama chumvini uvinza,utamu umezidi mpaka umepitilizaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Humu unaweza kurushiwa hata ferari ukabaki kuliangalia tuu.
Nashukuru, karibuUsijalii
Kwa I**aChumvini kwa nani? [emoji34]