Yangu tenaπ au ya vifaranga vyanguπππPosa yako uli sema ni ngapi vile π
Mbichi gani tena πSizitaki mbichi hiziππ
Dah kweli huja acha hayo maneno, niko namwangalia paka wangu ame amka Ika bidi nimmulike taa.Yangu tenaπ au ya vifaranga vyanguπππ
Halafu nime Kumbuka, Wana endeleaje wale mapacha??.Yangu tenaπ au ya vifaranga vyanguπππ
Welcome back01:38 Kweli nime amini makuruta mme zeeka, lindo halina mtu kabisa.
Bantu Lady, Mad Max, Shadow7, Uchira 1, Dr am 4 real PhD, Half american Kichwa Kichafu, Mjep na wengine wote hamjamboπ€.
Dope au alcohol.0219 hrs. I am high
Ooh karibu tena Intelligent businessman Happy New Year 2025. Ulimisika, bora umerudi, tulifufue chama letu upya. Watu wanalala wana raha gani?.π π π π π π01:38 Kweli nime amini makuruta mme zeeka, lindo halina mtu kabisa.
Bantu Lady, Mad Max, Shadow7, Uchira 1, Dr am 4 real PhD, Half american Kichwa Kichafu, Mjep na wengine wote hamjamboπ€.
Much love bantu, Jana nime muona dahan pia.Ooh karibu tena Intelligent businessman Happy New Year 2025. Ulimisika, bora umerudi, tulifufue chama letu upya. Watu wanalala wana raha gani?.π π π π π π
Hahahahaha,we kijana mchokozi sana
Madam miss IQ ndo uka staafu mazima??[emoji13][emoji23]usiseme kwa sauti lindo litakosa wakeshaji