Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,670
- 97,411
Chips buku, juice 600, dawa za mbu 3, kiberiti 1 jumla kuu buku 2.Hizo chipsi shingap
Chips buku, juice 600, dawa za mbu 3, kiberiti 1 jumla kuu buku 2.Hizo chipsi shingap
Unanunuaje dawa y mbu Bora ungeongezea mazaga zagaChips buku, juice 600, dawa za mbu 3, kiberiti 1 jumla kuu buku 2.
Hahahahahhhaa dahUnanunuaje dawa y mbu Bora ungeongezea mazaga zaga
LiveHahahahahhhaa dah
Pole mkuu, umecheck sukari na Pressure .?..1:07 AM napigwa na ganzi mguuni 😭
Luku imekubali01:32 LUKU imekata, ndo naweka apa
Dream Queen shikmooLeta khabari.
Yes kamilgado wale wazee wa vipis amkemMasaa yetu.... Ulinzi imara saa 3:54
A seductive game of love and betrayalMovie gani ulikuwa unacheki
Kuniona mm mchawi mwenzio sio
Yan hata mm nilikuwa najiuliza huyu mrembo kaanza lini tena uchawi?Kuniona mm mchawi mwenzio sio
anafkir namimi nna stress kwaio usiku silaliYan hata mm nilikuwa najiuliza huyu mrembo kaanza lini tena uchawi?
Akuache bwana😂😂anafkir namimi nna stress kwaio usiku silali
Mwambie wewe akuelewe vizuriii 😂Akuache bwana😂😂
Asante,sasa ngoja aje ashuhudie mwenyewe,,mtetezi wanguuuPoor Brain mambo ya kumwambia huyu mrembo Ms R mchawi uache mara moja tafadhali,,hana stress huyu ujue