JamiiForums Usiku wa manane

Hiyo ni noma mkuu, paka mtu huyo maana mida yao ndiyo hii sio poa.
Mimi bado nimevunga room kila nikipiga chabo nje nasisimka mwili nimeghairi mazima siendi club tena nimetubu.

Hallelujah!!!
 
Hiyo ni noma mkuu, paka mtu huyo maana mida yao ndiyo hii sio poa.
Mimi bado nimevunga room kila nikipiga chabo nje nasisimka mwili nimeghairi mazima siendi club tena nimetubu.

Hallelujah!!!
Hahaa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ hii dunia ina mambo mkuu, yaani nimepiga tochi hivi nakutana macho kwa macho na nyau kubwa, likaruka kwa kishindo afu linakimbia vishindo vya kibinadamu kabisa
 
03:38 πŸ“Arusha - Unga Limited

Hv wakuu, n kwann kwenye mapenzi, yule anayempenda zaidi mwenzake ndie huonekana king'ang'anizi kwa huyo mwenzake?
Tatizo unampenda na unaogopa kumpoteza huyo chura mkuu, sikiliza You Better Go by KONDE KIBONGE

Hallelujah!!!
 
Obvious mzani hauwezi balance lazima tu mmoja atampenda mwingine zaidi. Kwa mwanaume ukiwa na pesa mara nyingi utapendwa zaidi unlike mwanaume ambae anapesa za kususua sua
03:38 πŸ“Arusha - Unga Limited

Hv wakuu, n kwann kwenye mapenzi, yule anayempenda zaidi mwenzake ndie huonekana king'ang'anizi kwa huyo mwenzake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…