Kaory
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 585
- 1,184
Mi leo umegoma, acha niiombee hii nchi maana sisi maiti tuamke kama Gen z0323 mlinzi unalalaje
Mi leo umegoma, acha niiombee hii nchi maana sisi maiti tuamke kama Gen z0323 mlinzi unalalaje
Inapendeza sana muda mzuri wa sala. Nimekasirika sana nasikiliza radio hapa namsikia mpumbavu Mmoja anaitwa kiboko ya wachawi amefufua mtu jamanMi leo umegoma, acha niiombee hii nchi maana sisi maiti tuamke kama Gen z
Huyo wa buza? Nimecheka kwa nguvu sana. Afu ana watu jamani wabongo akili zishakufagaInapendeza sana muda mzuri wa sala. Nimekasirika sana nasikiliza radio hapa namsikia mpumbavu Mmoja anaitwa kiboko ya wachawi amefufua mtu jaman
Subiri kidogo nabadilisha uniform0511
Nafunga lindo