Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,617
- 2,735
Hapa nasubiri Copa Americađź‘‹
That is normal humu hakunaga shida utapata ukitafutachonalinda wavamiz wasiingie humu jf
Eti karibu DMKaribu dm
Acha kaka.naona usiku mrefu kinyamaa.kuliko dar.au ndo ugeni?yaani nimelala tena lakini wapi ndo kwanza saa 02:18 yaani hapa naomba asubuhi ifike tuUko sahihi kabisa mkuu,kuna siku nilikuwa pale Maunganui,Nana hotel...... nikalala saa 12 jioni hivi,kushtuka nikajua asubuhi kumbe saa tano usiku
Cheki muda00:16
Lala hukoAcha kaka.naona usiku mrefu kinyamaa.kuliko dar.au ndo ugeni?yaani nimelala tena lakini wapi ndo kwanza saa 02:18 yaani hapa naomba asubuhi ifike tu
Badooo02:45
Tulale wapibora yenu nyie mmelala
Badoooo03:03
Upo nchi gani? Mbona now ni 03:07?Badoooo