Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 6,048
- 8,818
Sawa mkuu.Sina taarifa mkuu nje ya jukwaani hatuna ukaribu.
Sawa mkuu.Sina taarifa mkuu nje ya jukwaani hatuna ukaribu.
Hv nda huu Kuna aliye macho mwingine au ni mimi tu humu mjengoniLeta khabari.
Nipo lindoni mapema tuuRATIBA YA LEO 22/06/2024
Chumba cha dharura Poor Brain saad
Upasuaji mdogo atakwepo Half american na jiwe angavu
Chumba cha uzalishaji atakwepo Bantu Lady kipanga85
Mapokezi atakuwepo Mbaga Jr na To yeye
Walinzi wa leo ni Shadow7 Mtoto halali na hela na Vincenzo Jr Nelly Equation x Kaory
LIKIZO
No Escape
Unatuonea kila siku hutuwekei hata ke mmojaRATIBA YA LEO 22/06/2024
Chumba cha dharura Poor Brain saad
Upasuaji mdogo atakwepo Half american na jiwe angavu
Chumba cha uzalishaji atakwepo Bantu Lady kipanga85
Mapokezi atakuwepo Mbaga Jr na To yeye
Walinzi wa leo ni Shadow7 Mtoto halali na hela na Vincenzo Jr Nelly Equation x Kaory
LIKIZO
No Escape
Itakuwa wameshamuoa pisi yakeDah mkuu fuatilia asije jidhuru kama watu wamechukua jiko lake
Na iwe heri.Itakuwa wameshamuoa pisi yake
Ndio mkuu hasa kwa usiku huuUnaona ni kitu cha maana sana😊
🙆06:50
Nafunga lindo rasmi