Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
Niliweka wazi nina ID mbili😩Sijapenda ulivyonikubalia kirahisi wakati mi nimeuliza kindanindani 😩😩😩 why banned forever
Niliweka wazi nina ID mbili😩Sijapenda ulivyonikubalia kirahisi wakati mi nimeuliza kindanindani 😩😩😩 why banned forever
Ana hasira za UEFA. Chelsea na wao mbinu za the gunners zimewawia vigumuArteta Leo kaamua, Niko nacheki Hapa 🤣😂
Naona white ana elekea kupiga hat trick 🤣Ana hasira za UEFA. Chelsea na wao mbinu za the gunners zimewawia vigumu
Hata mimi sikusamehi, ila ile iko pambe kama sio wwNiliweka wazi nina ID mbili😩
Ile ndiyo To yeye ya kwanza....nikabbadili jina to Beesmom....nikaanzisha id mpya ya To yeye ambayo ndiyo hii ili jina langu lisichukuliwe ....ikawa kosa ikabebwa Beesmom....Hata mimi sikusamehi, ila ile iko pambe kama sio ww
Hat trick ya beki... Arsenal wapo moto sanaaNaona white ana elekea kupiga hat trick 🤣
ipumzike kwa amani beesmom mawazo yake yataishi daima kwa to yeye😩😩😩Ile ndiyo To yeye ya kwanza....nikabbadili jina to Beesmom....nikaanzisha id mpya ya To yeye ambayo ndiyo hii ili jina langu lisichukuliwe ....ikawa kosa ikabebwa Beesmom....
Ume sahau gunner ni sehemu ya silaha??, so moto Ume testiwa tu😂Hat trick ya beki... Arsenal wapo moto sanaa
Hizi ni salamu kwa TottenhamUme sahau gunner ni sehemu ya silaha??, so moto Ume testiwa tu😂
Yu mwema nyakati zoteMungu ni mwema sana
Mzee toa kiherehere 🤣😂, Tottenham ndo Wana amua ubingwa kwa big 3 ujue.Hizi ni salamu kwa Tottenham
Kwa gunners lazima wayakanyage tuMzee toa kiherehere 🤣😂, Tottenham ndo Wana amua ubingwa kwa big 3 ujue.
Hapo moto lazima uwake
Kwa Aston villa ili kuwaje? 😂Kwa gunners lazima wayakanyage tu
😂😂😂😂 hakika irest in peace aiseeipumzike kwa amani beesmom mawazo yake yataishi daima kwa to yeye😩😩😩
Teh teh teh tuendelee kulinda mkuuKwa Aston villa ili kuwaje? 😂