Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Saaafiiii sana aiseeee kwa ishu ya hiyo style nimeikubali..Dizasta Vina Amechanganya Chanyanga Mitindo Ya Ku-flow Maana Rapcha Alisema Dizasta Vina Anastyle Moja Ya Ku-flow
Who told you to come aboard? Over
Mission compromise abort?Over
HApo Dizasta Vina Anamchana Rapcha Kama Ambavyo Pilot Wa Ndege Za Kivita Akimuuliza Nani Aliyemwambia Aende Kwenye Hiyo Mission (Battle Ya Kumdiss Dizasta).
Anamwambia Hiyo Mission Aachane(Abort) Nayo Maana Imekwisha Haribika(Compromised).
Corporal you not alone and you don't grow, over
Rapcha Anaambiwa Hayupo Pekee Yake Na Hivyo Inasababisha Kudumaa.
Go Master your bets couse you don't flow proper
Anamwambia Aende Akarekebishe Flow Zake Maana Anachana Hovyo.
Kichwa kilikuwa site Jana mzee,ππ, hata KU type niliona acha ipiteHakuna matata
Cc Intelligent businessman
Kukaa lindo siku 1 , ushaona ume kaa miaka 10 ehhππVijana mmelala wazee ndo tupo lindo
Jana nilishinda mwenyewe humuKukaa lindo siku 1 , ushaona ume kaa miaka 10 ehhππ
Aisee zee liongo wee, Kuna muda nili chungulia sikukuona π€£πJana nilishinda mwenyewe humu
Nilikuepo Sema JF kubwaAisee zee liongo wee, Kuna muda nili chungulia sikukuona π€£π
Hahaha, zee liongo, at first si ulisema uli shinda mwenyewe π π€£Nilikuepo Sema JF kubwa
Manka umeshiba makande tayari, nimeyamiss sana πππ€£
Habari za jioni rafiki yangu
Nmeyala kweli leo mchanaManka umeshiba makande tayari, nimeyamiss sana πππ€£
Safi rafiki karibu lindoniHabari za jioni rafiki yangu
Nayamisi sana makande ila nikila tumbo linauma vidonda vya tumbo vinanitesa sana πManka umeshiba makande tayari, nimeyamiss sana πππ€£
Asante sana nibakishie makande puliziiii πSafi rafiki karibu lindoni
Siku wai kuyapenda kiukweli, Yalinitesa sana shuleni nikapigana nayo vita, kumbe bado safari ilikua ndefu nikayakuta tena kwa jirani zetu wanaita githeli sijui πππππ€£ nikakubali yoteNmeyala kweli leo mchana
wakishua ltd.Nayamisi sana makande ila nikila tumbo linauma vidonda vya tumbo vinanitesa sana π
No nayapenda sana ila nikila tumbo linauma sana yaani zamani nilikuwa napenda sana makande nilivyoumwa now imekuwa kasheshe kuyala πwakishua ltd.
Ni matamu sana yaaniSiku wai kuyapenda kiukweli, Yalinitesa sana shuleni nikapigana nayo vita, kumbe bado safari ilikua ndefu nikayakuta tena kwa jirani zetu wanaita githeli sijui πππππ€£ nikakubali yote
Hujakutana na njugu mawe zetu bado, daslama malezi hakunaNo nayapenda sana ila nikila tumbo linauma sana yaani zamani nilikuwa napenda sana makande nilivyoumwa now imekuwa kasheshe kuyala π