fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,498
- 27,812
kabsa mkuu m namskiliza msodoki apa super nyota album uku nabshana na sadari mkuu Intelligent businessmanPamoja mpaka jogoo namsikiliza mwanangu wakazi na tema yai nation mix n hataree nikiimaliza h album usingizi ukigoma inabid ibada ifanyike aisee!!
Nime kumisi mno ππOmba ruhusa ya kuniita kwanza
Bora ukweli unao una, kuliko ukweli unao fariji.hahahaha ushaambiwa uskaze msuli kama upaja wako mdogoππ
Kali mnonimeiskiliza juu juu sana natafta sku nitulie niiskize vzr yaaN
Koh koh koh yaoo yaoooππ mi nipo na smoke uku naangalia muvi moja ya kutisha sana aisee na mvua hii patachimbika
Weeeeeeeeee (in mwakatobe's voice)Nime kumisi mno ππ
Ahahahahhaha mi ni mkulungwaππ we sio mwananzengo huwez kuelewa hii lugha em i gugo kidgo
Mi sio mashamba wewe πππfundi bishoo muelekeze kijanaπ€£π, washamba Hawa wezi elewaπ€£π€£
Hali ya hewa hii mama ππππWeeeeeeeeee (in mwakatobe's voice)
nikajua umekuja mjini na fuso la pambaπππ kumbe boni tauni kitamboMi sio mashamba wewe πππ
Mi mjanja mbna πππkijanja wanakaaje muelekezeππ Poor Brain
Hili ni style mbaya Baada ya chapter ya ufunuo.Mi sio mashamba wewe πππ
twende mbele turudi nyuma mkuu hv my power ya msodoki unaionaj mule kaua sana ujueπ kila day naiskilizaMi ndo kiboko ya Hawa madogo na ma broo wanao jiona sugu nunda.
Uki wapima ni over siza ka jinzi ya mgunda. fundi bishoo
Mi kitambo sana town mzeeyaa πππππππnikajua umekuja mjini na fuso la pambaπππ kumbe boni tauni kitambo
napooza baridi mukulu ππ si bila stater itakua jaUuKoh koh koh yaoo yaooo
ππππππππ
Shenziii sana weewe et una smoke