mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
12:24 AM
mwaka unakimbia sana
mwaka unakimbia sana
Ndio kaka nimelipia cha 10k
Ushachukuw SME ya Airtel kaka??
mguu pandeeee 😎😎00:34
Bro Niki kunyima like ni kosa🤣🤓00:38
Kwa nini chiefBro Niki kunyima like ni kosa🤣🤓
Na joke tu, kuwa unavyo toa like, afu mtu asikupe Sio poa 😁😆Kwa nini chief
Wapi nimekosea mkuu
Nasambaza upendo chiefNa joke tu, kuwa unavyo toa like, afu mtu asikupe Sio poa 😁😆
More love less ego, I mean no malice to nobodyNasambaza upendo chief
Maisha yanahitaji kuwa fair tu boss wangu
Tuendelee kuimarisha lindo
Kisa nini kaka au wamelewa hao 😁😂😁😁Aisee majirani zangu Wana pigana😆🤓
Usiku Ume tulia, nasikia Mwanamke ana sema noo Haiwezekani kabiSa😆🤓.Kisa nini kaka au wamelewa hao 😁😂😁😁
Unarusha mawe Vin12:47 AM Raine 😋😋❤️❤️❤️
Umefungua code 😁😂😎😎😎😎😎😎Chaz wa kigamboni anakupenda ujue 🤣Unarusha mawe Vin
Nili Iona Nika sema haya nihusu🤓🤣Umefungua code 😁😂😎😎😎😎😎😎Chaz wa kigamboni anakupenda ujue 🤣