JamiiForums Usiku wa manane

Alibakari nani kakupa funguo za geti? hajakuambia utaratibu,muda ukifika geti linafungwa tuu.wanaruhusiwa kupiga story nje ya geti.
Funguo nimezitwaa toka pale zinapowekwa, nimewatoa na kufunga geti, wako nje huko wanapiga stori now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…