Sawa ngoja nizibe,maana me sipatani na sukariFanya hivi ziba mdomo na pia hesabu sekunde 10 kimoyo moyo itaacha au kula kijiko kimoja cha sukari
Usiku mwemaShadow7 ulale salama Laazizπ
Wengine mtajijua π€ mlale mmekabwa na wanga nadhani hainihusuπ
Kwikwi mara nyingi hupotea kwa mshtuko wa habari mbaya ya ghaflaMbona wanitisha? Nini hiyo haifanyi kazi mpaka uwe karibu?
sameja ulisahau ujanja wa porini ulikua unawinda na makeleleSerengeti wa humu wote mmenishindaπ
Kuna watu wana macho ewwww.Ila ya ubavu inaweza kuwa mbadala
Hiyo kwiki itaisha chapu tu Fanya hivyo hesabu 1 hadi kumi itakata inshallahSawa ngoja nizibe,maana me sipatani na sukari
Barikiwa sana Vincenzo JrUsiku mwema
Amina πNawe pia cute
tano wape to yeye na winnonewanaman mi nipe miraba yangu
πππππ€£Kuna watu wana macho ewwww.
Ujanja wa porini, uraiani haufanyi kazisameja ulisahau ujanja wa porini ulikua unawinda na makelele
Hi Vinππππππ€£
mroomo mroomo (in kurya's voice)Ujanja wa porini, uraiani haufanyi kazi
Hello dada yangu upo fresh mwanza wanasema huko Kuna ndugu yangu mmoja Hivi mpe salamu ilaa yupo ni muuza mabakuli ya afu tatuHi Vinπ
Niko poa kabisa.Hello dada yangu upo fresh mwanza wanasema huko Kuna ndugu yangu mmoja Hivi mpe salamu ilaa yupo ni muuza mabakuli ya afu tatu
Mjini hapo ππππ€£ dada yanguNiko poa kabisa.
Ndugu yako anaishi wilaya ipi Vincenzo?
Aah sawa ntamfikishia salamu nikimuona usijaliπMjini hapo ππππ€£ dada yangu