Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,907
- 82,173
😂🤣😁huyo Vin tutamrudia tu team Elon hatujawahi kuwa kinyonge wallah 🤣🤣🤣
😂🤣😁huyo Vin tutamrudia tu team Elon hatujawahi kuwa kinyonge wallah 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Kabisaa,yaani wanawaza na kuwazua huku wamefumba macho wafumbue tu tujiunge nao hapahakuna aliyelala hao wameenda kukusanya tongotongo tu
Detail change.01:27 am muzle down 😁
Wengine tulienda kuogaEti Kuna watu wanajifanya wamelala muda huu,Mmelala mmejiegeshaaa?na Beyonce afanyaje mkilala nyie....mfyuuuu
Inshallah anaendelea vizuriVincenzo Jr aunt etu anaendeleaje jamani yule aliyezaliwa usiku wa manane
MKuu leo upo kitengo gani01:26 kazi kaz
Control roomMKuu leo upo kitengo gani
Mm nipo chumba chajawazito.
na sabuni yako ya kipande na kopo la maji la kubeba mkononi unasema unaoga? hapo unakoga tu huogi Vin😂😂😂😂Wengine tulienda kuoga
nipo full time mida ya manane namuombea hope detail changeDetail change.
🤣Nikajua ndio umeshajiegeshaWengine tulienda kuoga
🤣🤣🤣🤣Kama yeye kaoga na Mariah Carey atakuwa kafanyaje?na sabuni yako ya kipande na kopo la maji la kubeba mkononi unasema unaoga? hapo unakoga tu huogi Vin😂😂😂😂
Vincenzo Jr tutake radhi mdogo wetu, unavyotuchanganyia kuoga na kukoga 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😁 umesimamama na kindoo chako umekaza misuli unasema unaoga 😂🤣🤣🤣🤣😁🤣🤣🤣🤣Kama yeye kaoga na Mariah Carey atakuwa kafanyaje?
Dah 😂🤣😁🤣Nikajua ndio umeshajiegesha