Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
UmeamkajeNaaam naaam
UmeamkajeNaaam naaam
Afu simu ikazimika🤣🤣Jana na Leo 😘😘😍✌️✌️
😉Jana na leo
🥂Morning man
Yaan wamfungulie tu kwa kweliIntelligent businessman ban haijaisha tu
😊yees!!! nipo niimeingia lindoni hapa macho kodo.
😍Jana na leo cute
Ndo naelekea panda daladala aiseeWacha tuandae majembe yetu ili twende shambani
Wale wa maofisini najua mtakuwa njiani muda huu 🤗
Sijapenda 😐Siyu tuu🤣
Duuh,
🤣😂😁😁😁😁Nilijiuliza na Fake P mbona ghafla sana nmepata jibu
Poyee🤭Sijapenda 😐
Uzuri wa huko kwenu hakuna sana foleni kama DSM.Ndo naelekea panda daladala aisee
Pole sana mkuuAlinitukania mama yangu wakuuu wakampa adhabu yake 🤣😂😁😁😁
Kashaniharibia swaumu huyu😂Sijui mnajadili nini hapa kila usiku, ila pumbavu zenu wote.
Ndo raha ya kufunga sasa inabidi upate majaribu ili Allah ajue funga yako n dhatiti au legevu 😂Kashaniharibia swaumu huyu😂
Pole mwenyewe 😅Poyee🤭