JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ni kweli mkubwa, maana ukisha fika pale juu, utaanza kuwaza jinsi ya kuendelea kuji kuza.

Bado washindani wa kibiashara, hapa Kuna wema na Wabaya, hapa ndo janga linapo anzia.
Maana unaeza geuka ibilisi mdogo 🤓😂.

bado Kuna wale wazee wa kunusa mapato yako, lazima uwapoze ili ufukie baadhi ya mambo.

All In all, mi nitaona huko huko🤓
Hahaha...... kwahiyo unataka kusema tutavuka mto tukiufikia sio 😅

Kwasasa tuendelee kizichanga kidogo kidogo 🤗
 
Hahahahaha niliumia mazoezi,enzi zangu ilikua ni nivae jezi moja ya timu za Kariakoo 😅

Sasa hv mazoezi ya kulinda mechi muhimu kama usemazo
Hongera sana kufikia stage ya kutaka kucheza mpira wa kulipwa...

Binafsi nilicheza mpira kidogo sana as niliambiwa ukifeli ndiyo biashara ya Shule itakuwa imeishia hapo

Kwahiyo nilitumia muda wangu mwingi darasani kuliko michezo

Ili kuimarisha mahusiano/Ndoa, ni lazima uwe mtu wa tizi kidogo
 
11:11 PM Nidja amour bébé ye ye
Nidja amour, bébé na ngai
Nidja'maahh my baby
Fais-moi pleurer oh Nidja
I like you when you talk with me Nidja
I like you when you croak my body baby
Na lingaka tango o simbaka ngai loketo
I like you when you say "fally easy..."
I like you when you say "fally slowly..."
I feel you are the last angel God made
Ohh Nidja aah
 
Tukifika, ulinzi wa anga na ardhi lazima izingatiwe😂🤓
Hahaha......

Unanikumbusha miaka fulani nashika shilingi milioni 1 yangu nikiwa na 19 yrs.

Kwa kweli nilipata shida sana kupata usingizi

Tulikuwa tumefuga mbwa nyumbani, Kila mbwa akibweka usiku nilikuwa nahisi majambazi yanataka kunivamia wanipole hela yangu 🙌

Kwasasa kazi ya kutulindia Hela zetu tumewaachia watu wa Benki 🤗
 
Hahaha, ukawa una jikuta don wa taifa, Huku tafuta bodyguard kweli😂🤣.

Kuhusu mabenki, sisis ndo tuna zidi kuwa tajirisha(hili ni SoMo la siku nyingine).
 
Hahaha, ukawa una jikuta don wa taifa, Huku tafuta bodyguard kweli😂🤣.

Kuhusu mabenki, sisis ndo tuna zidi kuwa tajirisha(hili ni SoMo la siku nyingine).
Binafsi nina kawaida moja, huwezi kunitofautisha nikiwa na hela ama nisipokuwa nazo.

Naweza kuwa na hela ya kuweza Kula Holiday Inn hotel lakini nikaenda kula Shishi food 😜

Suala la kutunza fedha Benki ni lazima hasa Kwa mfanya biashara.

Unadhani utakuwa unafungaje mahesabu kwenye vitabu vyako kama huna flow ya Fedha Benki
 
Mkiweka mashairi ya nyimbo zenu za Kilingala, jaribuni kuweka na tafsiri yake walau na sisi wazee tulioshia darasa la pili tuweze kuelewa 😅

Alikuja Mwarabu mwenye ndevu kama za Osama...
Aliongea Kiarabu katikati ya maongezi si akataja Dodoma.....wakati anaendelea akamtaja Spika wa Bunge...maswali nikajiuliza miye anataka kulipua Bunge...

Kibanda cha Simu

11:55PM
 
Back
Top Bottom