Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,406
- 102,527
3:25 Mungu afungue milango ya baraka kwangu na kwako unaesoma sms hii
πππ
Control room iyo mkuuu ?! Una simamia nini hapo,kiwanda gani hichoView attachment 2934845
Tunaopiga kazi za usiku mtingo mtingo nimebakiza Massa machache tu
Amina Mkuu3:25 Mungu afungue milango ya baraka kwangu na kwako unaesoma sms hii
πππ
Aliyekaribu na huyu kijana amfunge kamba tafadhali,
0541Hrs.06:00 i mean no malice to nobody
Huyu afande yupo lindoni kwa makosa maalumu taachiwa mpaka pale tutakapo jiridhisha na nidhamu yake. AhsanteAliyekaribu na huyu kijana amfunge kamba tafadhali,
Anapoelekea ataingia barabarani bila nguo akate viuno,kuachwa na umpendaye kubaya sana.
π