Mlale salama ndugu
Hawezi pigo za kinyakyusa huyo,,,afu jicho lake twaelekeana ataishia kulialia tu kwa bed🙄alf da kidoti next week nakuj mbeya kumvist " mshamba.. naomba twende wote maan ni crush wako hatari[emoji38]
Naking’oa kesho mkuu🙏🏽sawa da kidoti uwe na njozi njemaaa[emoji3590]
Hawezi pigo za kinyakyusa huyo,,,afu jicho lake twaelekeana ataishia kulialia tu kwa bed[emoji849]
Naking’oa kesho mkuu[emoji1431]
Nasema kidoti naking’oa keshoone love, bado tupo tupo[emoji1666]
Nasema kidoti naking’oa kesho
Aliwahi nipigisha mmoja tu katerero na tuliachana kwa kosa la kunisababishia nimwage maji
Sina mwingine zaidi yako weweMbona wewe unae home mpenz?! Mie nikae tu niendelee kuwatazama mnavyopikiana msosi?😒😂