Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,953
- 56,079
Bado tupoShadow7 Intelligent businessman Tuwapeleke Somalia
Bado tupoShadow7 Intelligent businessman Tuwapeleke Somalia
Vitengo upishi na ulinzi wapi na wapi?🤣🤣Naunga mkono hoja
Upishi hapana nipo kitengo mkaa kazi ngumu mwanzo mwishoVitengo upishi na ulinzi wapi na wapi?🤣🤣
mkaa mkiisha fukia utawala🥲Upishi hapana nipo kitengo mkaa kazi ngumu mwanzo mwisho
Full utawalamkaa mkiisha fukia utawala🥲
Nimekumwaga Senior 🤣00:54
Lindo liendelee
Dah hii mbinu kitambo sana🤓, naomba wanaume Wana ingia, binti usi nivagae😂😂Ukikatisha maeneo yaliyotulia usiku mwingi unajiimbia tu kawimbo ili kujipunguzia uoga
Sitaki🤓😂, we si ulisema ume milikiwa🤣🤣Shadow7 Intelligent businessman Tuwapeleke Somalia
Tuwapeleke somalia mkafe vizuri, ulinzi hamuwezi kukoroma tu 🤣 Nani anatakaSitaki🤓😂, we si ulisema ume milikiwa🤣🤣
, nalia mwenzio 😀🤓Tuwapeleke somalia mkafe vizuri, ulinzi hamuwezi kukoroma tu 🤣 Nani anataka
We staafu😀🤓, una zingua dalaliNipo Mkuu Naona Unakimbiza Mwizi Kimya Kimya Hizi Mbili Zote
Unalia au unalilia mtu? 🤣 Maana unavyojua kuutesa moyo, nalia mwenzio 😀🤓
Nalia tu😀🤓, sija update simu siku nyingi.Unalia au unalilia mtu? 🤣 Maana unavyojua kuutesa moyo
Chukua watoto wenzako mkacheze nje 🤣 🤣 🤣 🤣Nalia tu😀🤓, sija update simu siku nyingi.
Sasa Kuna kitu nili taka fanya, aisee najuta 🤓😀