Lindo gumu sana yaani nimelala saa 2 aisee๐01:44 financial services ume toroka๐๐
Ha๐, nita kuja kuku chapa- maana hata mwafunzi halali hivyo๐คฃLindo gumu sana yaani nimelala saa 2 aisee๐
Maisha mafupi haya acha nienjoy๐๐ leo nalala saa 12 kabisa, so nitoeni kwenye lindo mapemaa๐Ha๐, nita kuja kuku chapa- maana hata mwafunzi halali hivyo๐คฃ
Hahahahaha02:04
Akishasema ananipenda, usingizi huu hapa!
Nilale sasaโฆ
HahahahahaMaisha mafupi haya acha nienjoy๐๐ leo nalala saa 12 kabisa, so nitoeni kwenye lindo mapemaa๐
Hahahahaha..we hufai kuwa lindo uzi utaibiwa huuLindo gumu sana yaani nimelala saa 2 aisee๐
Sema kulala hivyo ni rahaMaisha mafupi haya acha nienjoy๐๐ leo nalala saa 12 kabisa, so nitoeni kwenye lindo mapemaa๐
Lindo limenishinda kabisa ikifika saa 2 tu nipo hoi na mausingizi๐๐Hahahahaha..we hufai kuwa lindo uzi utaibiwa huu
Hahahahaha..pole sanaLindo limenishinda kabisa ikifika saa 2 tu nipo hoi na mausingizi๐๐
๐๐Sema kulala hivyo ni raha
View attachment 2897537
Ahsante mkuu, vipe wewe unatoboa hadi usiku wa manane?Hahahahaha..pole sana
Mimi kazi ya kuu ni ulinzi...hivyo lindo ni lzmAhsante mkuu, vipe wewe unatoboa hadi usiku wa manane?
Kuna kipindi nili kuwa nalala saw 1 usiku, I miss those days ๐ค๐๐
Hapo ulikua bado unakula kwa mama eeh haukua na bill yoyote hadi vocha unawekewa๐๐Kuna kipindi nili kuwa nalala saw 1 usiku, I miss those days ๐ค
Aisee, hapana ndo nili kuwa nime ingiia sehemu fulani.Hapo ulikua bado unakula kwa mama eeh haukua na bill yoyote hadi vocha unawekewa๐๐
Sema ukweli mkuu siyo dhambi kulipiwa bills na wazazi๐๐Aisee, hapana ndo nili kuwa nime ingiia sehemu fulani.
๐So nafurahia routine Ile, bill zangu nili lipa mwenyewe ๐๐คฃ
Acha basi ๐๐, au we ndo uli lipiwa.Sema ukweli mkuu siyo dhambi kulipiwa bills na wazazi๐๐