JamiiForums Usiku wa manane

Ndiyo, hivi na nyie huwa mnapata hii shida ya kukosa usingiz ukilala peke yako kama panga?
Nilipokuwa Kijana sikuwa na tatizo la Kukosa Usingizi.

Ukifika kuanzia miaka 60 Usingizi unaanza kukosekana

Unaweza kushinda Macho hadi saa 7 ama 9 usiku ndiyo Usingizi unakuja.

Kama ni Mvutaji wa Sigara basi tatizo ndiyo linakuwa kubwa zaidi
 
Babu mi mjukuu wako ukiniona hapa ujue namsubiri mkweo aje, akishafika tu huwezi kunikuta hapa tena.
Huwa anabeba usingizi wangu πŸ˜…
Naona umeongea kitaalamu sana ....kwamba yeye ndiyo amebeba Usingizi wako

Ile dawa ya asili niliyoisema pale juu ndiyo hiyo sasa πŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Nilipokuwa Kijana sikuwa na tatizo la Kukosa Usingizi.

Ukifika kuanzia miaka 60 Usingizi unaanza kukosekana

Unaweza kushinda Macho hadi saa 7 ama 9 usiku ndiyo Usingizi unakuja.

Kama ni Mvutaji wa Sigara basi tatizo ndiyo linakuwa kubwa zaidi
Mzee unamaanisha hapo ulipo ni uzee ndo unakunyima usingiz?
Mimi ni kijana mdogo mali safi wanaita ila kulala kwangu mpaka nipigiwe gitaa nipitiwe na story angalau kuanzia saa 6 hivi na mara nyingi nikiwa peke yangu basi kulala ni alfajir,
Hii inanifanya niwe mchovu sana ila bado silali mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…